Nitapata Wapi VISA ya ugiriki

BizMogul

Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
42
Reaction score
11
helo wadau naomba mnisaidie kuhusu visa ya ugiriki nahitaji kusafiri kwenda huko siku za karibuni wakuu
 
mkuu je kwa Belgium...
toka posta mpya kama unaelekea Makumbusho kupitia barabara ya Alli Hassan mwinyi.

kabla haujafika salender kuna kituo kinaitwa palm shuka. Upande wa kulia kuna barabara shuka nayo mbele ulizia utaonyeshwa.
 
mkuu simahanishi sehemu maana napajua lakini jinsi yakupata expert wa hiyo schengen visa kwa Belgium Asante
 
mkuu simahanishi sehemu maana napajua lakini jinsi yakupata expert wa hiyo schengen visa kwa Belgium Asante
hakuna anayetoa visa za nchi zaidi ya ubalozi uliopewa jukumu.

hata utumie Agent mwisho wa siku ubalozini unaingia wewe. Sasa sielewi unaposema Expert unamanisha nini?

Kama ni ushauri omba hapa utasaidiwa kwa tunayoyajua tusiyoyajua utayakuta ubalozini ukiamua kumtumia agent pia ni wewe.
 
Ndio mkuu nilicho maanisha ndo hicho maana hao ma agent huwa wanasaidia kuipata kirahisi maana ubalozi unaweza kamilisha vigezo vyote na wakakunyima ndo hivyo mkuu.
 
Ndio mkuu nilicho maanisha ndo hicho maana hao ma agent huwa wanasaidia kuipata kirahisi maana ubalozi unaweza kamilisha vigezo vyote na wakakunyima ndo hivyo mkuu.
Kama unaamini hivyo sawa. Dunia sinia shekh unapakua unachoweza.

kwa ushauri, hao maagent wapo wengi mitaani tu ila chunga usije ukapigwa tu, Jf ukiunganishwa ukakosa huko huchelewi kuja kusema fulani tapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…