Viagra ya utomvu wa minyaa ni nomaaaa
Habari wana MMU,
Siku hizi nahisi hii nanilihii..... yangu inaishiwa nguvu kabisa,idadi nimepunguza kutoka 5 per night hadi 3 kiasi kwamba hata mke wangu ananifikiria vibaya labda kuna mahali nagegeda na hivyo basi naishiwa hamu na kipochi chake -hali hii ina sababisha ugomvi wa mara kwa mara kwa sababu ya wivu nyumbani kiasi kwamba naanza kuichukia ndoa yangu.
Sasa katika pita pita yangu nilishawahi kupata stori ya viagra na shughuli yake,sasa je nitaipata wapi ili niu boot mgegedo wangu na furaha ya ndoa irudi kama zamani?5(per night or more.)
-Aisee wewe ni kiboko! 5 times over one night? Akina dada mna kazi...!Habari wana MMU,
Siku hizi nahisi hii nanilihii..... yangu inaishiwa nguvu kabisa,idadi nimepunguza kutoka 5 per night hadi 3 kiasi kwamba hata mke wangu ananifikiria vibaya labda kuna mahali nagegeda na hivyo basi naishiwa hamu na kipochi chake -hali hii ina sababisha ugomvi wa mara kwa mara kwa sababu ya wivu nyumbani kiasi kwamba naanza kuichukia ndoa yangu.
Sasa katika pita pita yangu nilishawahi kupata stori ya viagra na shughuli yake,sasa je nitaipata wapi ili niu boot mgegedo wangu na furaha ya ndoa irudi kama zamani?5(per night or more.)
-Aisee wewe ni kiboko! 5 times over one night? Akina dada mna kazi...!
kwakweli wewe kama mimi siku nikiipata nita ku PM heaven on earth wangu to practise nayo
itakua siri yetu twawili mimi na wewe basi
umenikumbusha mbali aisee na hii miti...bonge la gundi kule kijijini kwetu kirarachaViagra ya utomvu wa minyaa ni nomaaaa
sawa mkuu lakini kati ya hivyo ulivyotaja situmii mimi starehe yangu ndo hiyo hapo ambayo naomba msaada wa kuishiwa nguvuKafanye mazoezi kaka viagra sio ishu! kula vizuri, pumzika, ondoa stress na ballance uzito, sigara na pombe/miraaa achana navyo!!
safi mkuu kwa ushauri hii nitaijaribu leoNatural viagra inaandaliwa kama ifuatavyo,tafuta tikit maj kamua juisi halafu uichemshe hyo juisi,ikichemka changanya na limao,baada ya hapo hakikisha inapoa vizuri,ikishapoa kunywa baada ya hapo uje utoe ripot tafadhari!