Zero Hours JF-Expert Member Joined Apr 1, 2011 Posts 12,942 Reaction score 18,691 Apr 19, 2016 #1 Nipo mwanza ninahitaji kutengeneza shamba la kama heka 3. Ningependa kulima kwa tractor. Wadau nisaidie hapa Mwanza maeneo ya Nyegezi tractor nitapataje?
Nipo mwanza ninahitaji kutengeneza shamba la kama heka 3. Ningependa kulima kwa tractor. Wadau nisaidie hapa Mwanza maeneo ya Nyegezi tractor nitapataje?
Amenn JF-Expert Member Joined Dec 21, 2015 Posts 321 Reaction score 422 Apr 23, 2016 #2 Naona hakuna watu, jaribu kuuliza hukohuko
Muzii Senior Member Joined Apr 13, 2010 Posts 196 Reaction score 118 Apr 25, 2016 #3 Mwanza mbali Trekta kwa idadi ya hekari zako ipo Dar Es Salaam, pia yawezekana wewe si mzaliwa hekari 3 unatafuta Trekta
Mwanza mbali Trekta kwa idadi ya hekari zako ipo Dar Es Salaam, pia yawezekana wewe si mzaliwa hekari 3 unatafuta Trekta
M manyovu 1 Senior Member Joined Jan 14, 2016 Posts 141 Reaction score 57 Apr 25, 2016 #4 Nenda KISESA pale kuna wakulima wengi unaweza kupata tractor, kuna Mzee mmoja anamashine ya kusaga anaitwa doma huyo ni mkulima mzuri na tractor anazo
Nenda KISESA pale kuna wakulima wengi unaweza kupata tractor, kuna Mzee mmoja anamashine ya kusaga anaitwa doma huyo ni mkulima mzuri na tractor anazo
Zero Hours JF-Expert Member Joined Apr 1, 2011 Posts 12,942 Reaction score 18,691 Apr 30, 2016 Thread starter #5 manyovu 1 said: Nenda KISESA pale kuna wakulima wengi unaweza kupata tractor, kuna Mzee mmoja anamashine ya kusaga anaitwa doma huyo ni mkulima mzuri na tractor anazo Click to expand... Mkuu nashukuru ngoja niende uko asubuh.
manyovu 1 said: Nenda KISESA pale kuna wakulima wengi unaweza kupata tractor, kuna Mzee mmoja anamashine ya kusaga anaitwa doma huyo ni mkulima mzuri na tractor anazo Click to expand... Mkuu nashukuru ngoja niende uko asubuh.
Zero Hours JF-Expert Member Joined Apr 1, 2011 Posts 12,942 Reaction score 18,691 Apr 30, 2016 Thread starter #6 Muzii said: Mwanza mbali Trekta kwa idadi ya hekari zako ipo Dar Es Salaam, pia yawezekana wewe si mzaliwa hekari 3 unatafuta Trekta Click to expand... Huku watu hwawezi kulima unaweza kusumbuana nao bure ni bora kutafta tractor mkamalizana sikuhiyoiyo.
Muzii said: Mwanza mbali Trekta kwa idadi ya hekari zako ipo Dar Es Salaam, pia yawezekana wewe si mzaliwa hekari 3 unatafuta Trekta Click to expand... Huku watu hwawezi kulima unaweza kusumbuana nao bure ni bora kutafta tractor mkamalizana sikuhiyoiyo.