Nitapata wapi ng'ombe wazuri wa maziwa?

Mkuu nimesikitika sana maana nilihamasika kutafuta hawa Ng'ombe,bado safari ni ndefu.
Safar n ndefu sana sana uwez amini nilipita banda La MAGEREZA wanamwambia MASAI aandike barua kwa kamishna Wa magereza Tanzania mtu ajui kusoma wala kuandika na ela anayo Cash.
 
Safar n ndefu sana sana uwez amini nilipita banda La MAGEREZA wanamwambia MASAI aandike barua kwa kamishna Wa magereza Tanzania mtu ajui kusoma wala kuandika na ela anayo Cash.
Lakini tusikate tamaa tutafika tu mkuu
 
Ka
Lakini tusikate tamaa tutafika tu mkuu
Tatizo taasisi nying zinakosa ubunifu kama kuwashauri wangeweka mpango angalau kusimamia uuzaji Wa mitamba at least Mara mbili au tatu kwa mwaka wangeweza kuiingizia serikali kipato kikubwa pia kubadilish maisha ya wafugaji wadgo kama sisi
 
Ulitembelea banda la chuo gani mkuu
 
Vyuo vya mifugo vinapatikana mikoa ipi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ka

Tatizo taasisi nying zinakosa ubunifu kama kuwashauri wangeweka mpango angalau kusimamia uuzaji Wa mitamba at least Mara mbili au tatu kwa mwaka wangeweza kuiingizia serikali kipato kikubwa pia kubadilish maisha ya wafugaji wadgo kama sisi
Kabisa mkuu huwa nashindwa kuelewa tatizo liko wapi,labda ubinafsi unatusumbua.
 
20 lts inawezekana mkuu. Mzee wangu alishakuwa na ng'ombe wa hivyo ila alikufa miaka 3 iliyopita.
QUOTE="Root, post: 27952142, member: 67690"]20 lts kwa siku utadanganywa[/QUOTE]
 
Mie naamini ngombe ukimtunza vizuri anatoa maziwà mengi tuu
 
Ukifuatilia ng'ombe hawa wa serikali utafeli mkuu… mimi mwenyewe nimebabaishwa saaana miaka ikaenda mpaka pesa yenyewe ikapangiwa matumizi mengine na ndoto zangu zikafifia…. Usitegemee huko,…. Ukipata hata kwa watu binafsi wenye bei zaidi nunua kuliko kusubiri aisee… unaweza ukachagua mtamba kabla hajabebeshwa halafu ukaambiwa usubiri mpaka abebeshwe, ukimsubir anakuja mwenzio anaongeza cha juu anamchukua nawe unapewa kiswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia Dar Zoo wana ng'ombe wanawauza , unaweza enda fuatilia huko maana kama upo Dar hali ya hewa haitokuwa challenge tofauti na umpate ng'ombe wa kitulo.
Pia kuna watu pale ubungo maziwa kuna kipindi walikuwa wanauza hao ng'ombe jaribu kutafuta thread humu ya miaka mitatu na zaidi nyuma ilizungumzia..
Pia arusha maeneo ya tengeru au kwa mzee mmoja maarufu mzee urio anao ng'ombe.
Wacheki pia jkt ruvu, kibaha pia.
Serikalini tatizo mlolongo ni mrefu ingawa last month baada ya kuwatembelea shamba lao la mabuki mwanza walisema wameboresha huduma.
Otherwise check my pm kwa maelekezo na mawasiliano zaidi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu unamfahamu hadi Urio!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu uchumi wa kalamu bila uhalisia
umewadanganya wengi na mwisho wameishia kujuta.
Utamu wa ngoma ni kuingia uwanjani ucheze.
imi binafsi naamini mkulima na mfugaji kama
hakupata kiwanda cha kuchukua mazao yake
kwa ujumla wake uwezekano wa kuharibu mtaji wake ni mkubwa sana.
 
ahsante sana nitaku pm mkuu
 
Fanya mpango upate wale wa mafinga chuoni ni wazuri sana
 
njoo Iringa, kuna Wazungu kutoka nchi za Zimbabwe na South , ila bei yao iko Juu. bidhaa kama pipi za Ivory maziwa yake yanatoka kwa hao wazungu, mmoja wao anaitwa Philips- ila kama nilvyosema hapo juu, bei zao ni kubwa
Bei gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…