Walau ungetaja brand yake ingesaidia kujua kujua uliyoikusudia, maana zipo za aina nyingi.. brand nyingi pia. Ila nikushauri kwa bongo yetu tumia hata Satiskin au Nivea shower gel..Wadau kuna liquid soap fulani wanatumia kwenye mahoteli makubwa ambazo wanazijaza kadiri zinapopungua. Kwa walioishi ulaya mtakuwa mnazijua maana kule ni kila hoteli zinapatikana. Swali naweza kuzipata wapi hapa Bongo?
Sikufanikiwa kuuliza hotelini wanazitoa wapi. Najua humu kuna wengi mnajua vingi. Nataka nizitafute kwa ajili ya home. Uchumi wa katiView attachment 2108870
Kwa Bongo natumia Dove na Dettol. Hizi za mahotelini haswa 5 Stars ni nzuri zaidi. Uwa wanajazia zikipungua ila chupa zake hazina brand nameWalau ungetaja brand yake ingesaidia kujua kujua uliyoikusudia, maana zipo za aina nyingi.. brand nyingi pia. Ila nikushauri kwa bongo yetu tumia hata Satiskin au Nivea shower gel..
Hizi za kibongo nimeshatumia karibu zote ila hazina ubora kama hizi za mahotelini. Naongelea za kuogeaKuna za kunawia mikono na za kuogea, wewe umelenga zipi hapo!?.. Kama ni za kuogea nenda maduka ya vipodozi ulizia shower gel zipo aina nyingi, harufu, ujazo na ubora tofauti tofauti ni wewe tu na pochi yako.
Hiyo chupa ni kifungashio cha kawaida ambacho unaweza kupata kwenye masoko yetu Kama utahitaji kudhibiti matumiz.
Satiskin ni brand ya Sauzi mkuu!Hizi za kibongo nimeshatumia karibu zote ila hazina ubora kama hizi za mahotelini. Naongelea za kuogea
Unasema kweli chief? Kwani hata dove, lux na nyinginezo nimetumia, lakini kwasasa nimebaki kwenye Satiskin! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]Hamna sabuni pale
Ukifananisha na sabuni za mahoteli makubwa utagundua hizi za Kariakoo ni midosho tu.Unasema kweli chief? Kwani hata dove, lux na nyinginezo nimetumia, lakini kwasasa nimebaki kwenye Satiskin! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Umewahi kutumia ile inakuwa kwenye gallon ya 2L?Ukifananisha na sabuni za mahoteli makubwa utagundua hizi za Kariakoo ni midosho tu.
Nilishatumia Satiskin ile nyekundu ya strawberry sikuona maajabu
Zinaweza kuwa "Castile Soap"Wadau kuna liquid soap fulani wanatumia kwenye mahoteli makubwa ambazo wanazijaza kadiri zinapopungua. Kwa walioishi ulaya mtakuwa mnazijua maana kule ni kila hoteli zinapatikana. Swali naweza kuzipata wapi hapa Bongo?
Sikufanikiwa kuuliza hotelini wanazitoa wapi. Najua humu kuna wengi mnajua vingi. Nataka nizitafute kwa ajili ya home. Uchumi wa katiView attachment 2108870
Nitaenda kesho kuzitafuta. Nitaleta mrejesho na picha. Asante sana idumu JFKama upo Dar, Masaki na Town kuna duka/mini supermarket inaitwa "homecollectionz" upate original brands toka UK kama St.Ives, Garnier, Imperial, Palmolive, Lynx, Umbro, Adidas etc etc...
Duka lao la town lipo karibu na round about ya DTV pale...mtaa wa Sewa/Chusi...0710 490 344
Budget yako iwe not less than 12k
Nitaenda kesho kuzitafuta. Nitaleta mrejesho na picha. Asante sana idumu JF
Tupe mrejesho...Nimewacheki insta wako vizuri sana. Wana vitu unique. Kwa kesho nitaanza na hivi na vingine nitakavyovutiwa navyoView attachment 2109843View attachment 2109844View attachment 2109845View attachment 2109846View attachment 2109847View attachment 2109848