Naomba mtu anayefahamu zinapouzwa laptop nzuri imara anielekeze nitapata wapi? Na bei isifike laki 7
asante
unapatikana ukanda upi wa tanzania?
zipo ni wewe mwenyewe tuu, bei inategemea unataka yenye specifications zip mkuu