Nitapata wapi hizi nyimbo?

client3

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2007
Posts
2,331
Reaction score
3,196
Kuna msanii wa kike sijui ni Mkongo ama vipi lakini huimba kilingala anaitwa Ayila, ana sauti nzuri sana nilipata kuziona nyimbo zake Clouds Tv wakati iko kwenye majaribio ya kuruka hewani...walikuwa wanaweka album yake nzima.Tafadhali kwa anayejua nitapata wapi anisaidie kwani jitihada zangu za ku "google" hazijazaa matunda,labda kwa vile nakumbuka jina lake moja tu.
 
Nadhani utakuwa umekosea jina.
Jaribu kupata jina sahihi hata la wimbo tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…