Simu yenyewe ni CONDOR C 6 , ni simu ambayo nzuri niliyokuwa naitumia sasa imeanguka imeweka nyufa display yake. Nawauliza wanaofahamu ni wapi kwa hapa dar nitapata display yake, au simu yenyewe aina hiyo naweza kupata maeneo gani kwa hapa Dar.