asanteni ndugu zangu, mimi natokea arusha nakuja dar kwa kdogo ndo nilikua nataka gari la kuwa nalo huko kdogo, kuna ndugu yangu amenisaidia ila bado shida ipo, je naweza nikapata gari la kutoka nalo usiku? yani nikakod kuanzia ile mida ya jioni ndo tuanze kuhesabiana mida hapo,na ingekua vzur kama ni automatic nataka kudrive mwenyew