Anawezaaa mpaka kuleta jf hawezi kufanya maamuzi huyo ni chaguo lake apambane nayeAchana nao wote,live happily life without them
Anawezaaa mpaka kuleta jf hawezi kufanya maamuzi huyo ni chaguo lake apambane naye
Mwanaume kabla ya yote unatakiwa ufanye maamuzi yako sasa wewe unakuja jf kuna nini hapokwa kweli.
Hana hata uwezo wa kuamua binafsi, sasa huku JF tutamsaidiaje? UwiiiiihMwanaume kabla ya yote unatakiwa ufanye maamuzi yako sasa wewe unakuja jf kuna nini hapo
😂😂😂🙆Anawezaaa mpaka kuleta jf hawezi kufanya maamuzi huyo ni chaguo lake apambane naye
Huku kuna kusaidiana au kuna kuchekana na kuchorekaHana hata uwezo wa kuamua binafsi, sasa huku JF tutamsaidiaje? Uwiiiiih
Kabisaaa yaan.Huku kuna kusaidiana au kuna kuchekana na kuchoreka
Hujaoa, usikute ni kijaan tu muhuni muhuniJIPIGE KONZI KUUUBWA KICHWANI, ALAFU SEMA KWA SAUTI KUU KUWA WW NI MJINGA, ( acha kufatilia simu ya ke ). CUZ I'M SURE YAKO HAIKOSI SMS KAMA HIZO.
Haina aisee kabisa , na hii imeingia wakati ananionyesha picha za shughuli fulani za kifamilia so SIKIPIGI konzi wewe nishauri maana siku hizi kuuana kwa mamno haya ni kwingi nahitaji kupata yupi nimtie adabu siyo kumuua hapana ila punishment ni muhimuHujaoa, usikute ni kijaan tu muhuni muhuni
Rudisha kwao hiyo mbuziNimekuta sms kwa simu ya mama wa watoto imeandikwa hivi "NIAMBIE MY LOVE WANGU" mwandishi au mtumaji namtambua kwa nambar ya simu.
Namuuliza wife huyu anakuandikia hii sms ni nani na nini maana yake kwako? Hoja yake anasema je, unataka nikwambie kila anayenitongoza?
Nataka kutoa adhabu kwa mmoja wapo, nimuadhibu yupi?