Nitamuachaje tuliyependana?

kycheneke

Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
68
Reaction score
34
Mimi ni mwanafunzi wa chuo nimemtongoza dada huku mtaani, sasa baada yakuanza mahusiano, penzi lake kwangu likashuka sana, yani sitaki hata kuongea nae, kinachoniogopesha ni kwamba amesha waambia hadi kwao na mimi sina mpango nae wowote.

Sijui nimwambiaje nayeye ndio kafa kaoza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka umempenda ndo maana unashindwa kumuacha
 
Inasikitisha sana...

Mwanzo mbaya mwisho wake mbaya...

Inaonekana toka mwanzo unamtongoza hukumpenda, ulimjaribu...


Cc: mahondaw
 
Wanaume sometime tunajaribu kutongoza ili kuongeza self confidence afu manzi ndo anadata ni nomaaaa!!!
 
Kumtongoza mtu kwa kujaribu siyo vizuri mwingine anakuwa amekupigia hesabu za mbali. Cha kufanya tafuta mbinu yoyote ambayo utamuelekeza aweze kukupotea. Kama uliweza kumtongoza ukijua humpendi tumia ujasiri huo huo kumuelekeza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…