lingamba lidodi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 964
- 1,137
Kwahiyo mlitegemea kuharibu ili mtafute ufumbuzi? Maana mlishauriwa sanaHuwezi kumuhukumu samaki kwa kushindwa kupanda mti na tunajifunza kutokana na makosa hivyo suala la korosho ufumbuzi wake utapatikana as soon as possible
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app