Nitamtetea Rais wangu, Magufuli

Nitamtetea Rais wangu, Magufuli

bichwa mtoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
274
Reaction score
563
Mimi bichwa mtoto kwa akili yangu mwenyewe bila kulazimishwa na mtu yeyote.Naahidi kumtetea Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu John Joseph Magufuli.
Kwa kijana yeyote mzalendo wa Kitanzania ni lazima atakuwa anakubaliana na jinsi Rais wetu mpendwa anavyo chapa kazi.hivyo wewe kijana mzalendo tuungane wote kumtetea Rais wetu huyu. Hawa vijana wa Bavicha ni wachache sana kulinganisha na vijana tuliopo huku mtaani ambao tunamkubali Rais huyu
Kwa pamoja tunasema
Mimi na Tanzania Natembea na Magufuli
#Tembea na Magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_1550909861066.jpg

1550772595919.png

_104276384_gettyimages-952547818.jpg
 
Kwa mara ya kwanza 2020 Magufili atapita kwa kishindo kwa sababu kwa maendeleo anayo yafanya sasa hana mpinzani

Maana ya utawala bora ni ile hali ya makubaliano waliyokubaliana kati ya wananchi na viongozi wao kwa jinsi gani watafata sheria zilizotungwa

kwa iyo sisi wananchi ambao kwa wingi wetu tunamkubali Rais wetu tumeukubali utawala huu nyie wachache msitake kutuvurugu kama mmeshindwa tafuteni nchi zingine za kwenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi bichwa mtoto kwa akili yangu mwenyewe bila kulazimishwa na mtu yeyote.Naahidi kumtetea Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu John Joseph Magufuli.
Kwa kijana yeyote mzalendo wa Kitanzania ni lazima atakuwa anakubaliana na jinsi Rais wetu mpendwa anavyo chapa kazi.hivyo wewe kijana mzalendo tuungane wote kumtetea Rais wetu huyu. Hawa vijana wa Bavicha ni wachache sana kulinganisha na vijana tuliopo huku mtaani ambao tunamkubali Rais huyu
Kwa pamoja tunasema
Mimi na Tanzania Natembea na Magufuli
#Tembea na Magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
Baado unakula kwa baba yako ndoo akili zako hivyoo ndoo maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baado unakula kwa baba yako ndoo akili zako hivyoo ndoo maana

Sent using Jamii Forums mobile app
Napatikana Tabora mtaa wa kanyenye njoo kwangu nitakurisha kwa fedha zangu nitakununulia nguo kwa fedha zangu
Watu tuko vizuri ndo maana tunamkubali Rais wetu mlizoea upigaji sasa mmekatiwa mirija mnalia lia apa mnatia huruma tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumtetea lazima lakini sio kwenye issue zote aisee...kuna zingine inabidi kujitoa ufahamu ili kumtetea
Ushabiki maandazi tuache...
Tufahamu kuna kujenga na kubomoa...
#weloveyoumagufuli but inabidi u act vizuri japo dosari hazikosekani kwa binadamu but you are a special one be good,act good then we are together our President!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom