Nitamjuaje mwanamke aliyewekwa tego?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mungu anakuona ujue lol!

 
Hatari sana mkuu inatisha na inataka moyo
 
Hakuna kosa kubwa kamakumlia mwanaume mke wake... Ita ku hunt whether you know it or not.
 
Mkuu utaweza masharti?
 
Hivi unaakili ww au ni mpumbavu? Yan mke wa mtu unamng'ang'ania had uhakikishe umezini nae alaf unaomba na udhauri kabisa we bora ufumaniwe ufe tu
 
mwache aende akanase, mungu hutuepusha na majanga kupitia roho zetu bt hua tunachukulia poa ndo maana mara nyingi majuto hutuandama.
Ila uyu jamaa wala hajazamilia kumla mke wa mtu kama angeitaji kumla kitambo tu angeshamla
 
Hahahaha
We jamaa una Ufala mwingi sana
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mungu anakuona ujue lol!
Yah! Tena nadhani Mungu kanipa zigo la thawabu kwa kutoa ushauri bora kwa vijana wetu wanaosumbuliwa na mambo madogo madogo tu wakati kaka zao tupo!!
 
Reactions: BAK
Ogopa fumanizi lol
Keshasema "kufumaniwa ni uzembe" kwahiyo mtu mzima Ramea hawezi kufumaniwa kwa sababu wanaofumaniwa ni wazembe na yeye sio mzembe!!

Hoyaa Ramea, huyu cocastic asikutishe wala nini... si ajabu anamuonea wivu tu huyo manzi wako, mtoto ang'avu, mke wa mtu mtamu!! Kwanza siku hizi unafumaniwaje kwa mfano?! Wote mkipiga barakoa, mnaweza kupishana na mumewe kwenye korido na wala asiwajue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…