Ni kweli hii? Au joke mkuu.Kufahamu kama ana tego, hususani ile tego ya kunasana ni rahisi sana. Unachotakiwa kufanya ili kufahamu kama ana tego au hapana, inabidi uingize dushe halafu ulitoe fasta fasta.
Kama ana tego, utanasa hapo hapo, lakini kama hana, utaona kitu kinaibuka kama kawa!
aje huku ruangwa yamejaa TeleKuna jani la mti X ukiwa nalo unaliweka juu kwenye mbunye likikauka ana tego na lisipokauka hana tego, ila sitokwambia ni jani gani maana sihamasishi uzinzi![emoji41][emoji41][emoji41]
nimekushauri vizuri bt wewe umejibu hapo mwisho tu je mwanzo hujapaona?Kima mweusi wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kufahamu kama ana tego, hususani ile tego ya kunasana ni rahisi sana. Unachotakiwa kufanya ili kufahamu kama ana tego au hapana, inabidi uingize dushe halafu ulitoe fasta fasta.
Kama ana tego, utanasa hapo hapo, lakini kama hana, utaona kitu kinaibuka kama kawa!
Kumbe hata wewe umeona aise.mambo yote unayosita kuyafanya tambua kuna madhara mbele yake, hata kama si tego jambo hilo lishakua na tafrani nakushauri liache usijekujuta bure BUMBAFU ZAKO MZINZI
Kama watu mnawaza kuzini tu ccm tutashinda Sana chaguzi zijazo🤨🤨Kuna mke wa mtu nilimpa lift mwaka jana mwezi wa saba. Takribani mwaka sasa, tukaachiana mawasiliano na badae kujikuta kuwa wenzi.
Kila nikipanga naye kukutana ili nimle Kwanza moyo unakuwa baridi sana, na akifosi sana lazima kikwazo kitokee hadi inashindikana. Kuna siku alijiandaa hadi eneo la tukio lakini simu zake nikizitazama tu bila kupokea. Na tukitofautiana baada ya muda tunarudisha mahusiano tena.
Sasa kesho tumepanga kukutana na kwakuwa anasafiri wiki ijayo, na atakaa muda mrefu kidogo huko, kasema ni lazima tuunganishe vitendea kazi vyetu, na mimi nimeshaandaa mazingira ila moyo haufurahii ingawa mm ni mtokaji kweli kweli. Yani kuchepuka nachepuka sana tu ila huyu binti, nadhani Mungu Kuna kitu ananiepusha.
Kama hana ngoma, basi ana tego. Siyo bure, kwa ishu ya HIV najipanga na ndom ila hili tego!! No!
Fumanizi sina hofu mana nimejipanga vema.
Nitagunduaje Kama mwanamke kategwa?
😃😃😃, Mkuu ameomba ushauri ili kujua Kama atakutana na tego halafu wewe unamtukana!?😂mambo yote unayosita kuyafanya tambua kuna madhara mbele yake, hata kama si tego jambo hilo lishakua na tafrani nakushauri liache usijekujuta bure BUMBAFU ZAKO MZINZI
Yanaitwaje?
Hahahaha,,, wauni sio watuAsa mkuu si ugoogle mbona simple tu Kila kitu kipo mtandaoni[emoji2][emoji2][emoji2]