Nitakwepaje hili kwa my x?


Hahahahaaaaaaaaaa...............
 
mmhhhh kweli its very hard ku deal na X kwenye same environment,ila ukiamua kuwa ngangari utaweza,nenda ilipo lazima,na fanya yako ambayo ni academic issues then potea,inshort try 2 avoid him
 
Last edited by a moderator:
Ukitambua kilichokupeleka wala huwez kuumia yy alikuona wa nn na ww muone wa kazi gani usimpe nafas akahis unamkwepa au unamfell atakusumbua na vijimambo vya hapa na pale unaweza kumwona kama rafiki tu salam ukampa ili pia asione unateseka kuachana na yy fuata kilicho na faida na ww
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…