Nitakwepaje hili kwa my x?

umchukia au kumkwepa means you still love him.. face and accept the reality that he's no longer yours..

simchukii hata kidogo na nimesamehe na sina kinyongo nae
 
mapenzi na shule ni vitu viwili tofauti kama nyagi na dawa.
 
mkuu tyta unakumbukumbu aiseee,huyu ni wa elfu sitini,thanks anyway
 
ha!ha!mkuu bana,nitazingatia kufanya kama wadau walivyoshauri
 
Umesema mpo 70 class... nina imani wanaume hawapungui 20 hapo. Jichukulie mwingine...
 
Keep yourself busy, muignore fanya mambo ambayo yanakupa raha Mungu atakupa hitaji la moyo wako kama ni presentation fanya nae jifanye hujaathirika na kuachana kwenu . Lakini ukijitiisha huruma na kujiliza liza utamfanya ajitukuze.
 
asante
 
jiambie hivi huyo siyo ndugu yako ulimkuta tu.... sasa kashasepa maisha mengine lazima yasonge mbele..... jitahidi ufanye vizuri kuliko yeye ... ignore him kabisa ....
 
Invisible, Paw, Mentor mbona sielewi hapa,hii nimepost mimi asubuhi kwa username yangu badiebey but napita pita naona serikali 3,ndo nini,me na serikali 3 wapi na wapi??...pls kamam mme merge it's 2 different people am badiebey
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa unasoma wewe ni mwanafunzi tu yakupasa uzingatie masomo aijalishi una umri gani mapenzi ya kukurupukia shule hayo yanaathari zake hasa kwa lengo usika.
 
Invisible, Paw, Mentor mbona sielewi hapa,hii nimepost mimi asubuhi kwa username yangu badiebey but napita pita naona serikali 3,ndo nini,me na serikali 3 wapi na wapi??...pls kamam mme merge it's 2 different people am badiebey

Sweetheart am just the PM moderator...!lol

Kwani bado upo chuo shem!???
 
I think nimeelewa... Serikali3 was just quoting you badiebey nadhani hapo ndo kosa lilipotokea..

Pole, wazungu walisema "Don't poop where you eat". Ni shida sana kuanzisha mahusiano kazini na chuo unapotegemea kipato. Inabidi ujiweke busy

The Bing Bang Theory Season 07 Episode 05
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…