Mambo ya wanafunzi haya...ngoja wenzio waje!
Hamna mtu anayekutaja naww?
mh! sijaelewa una maana gani?hao niliowataja mfano mkuu smile anadai x is a total destructor,hope anaweza Kunipa mbinu za kumwepuka
jitahidi kuwa biz, nenda class inapobidi tu , amini yatapita tu. mnasalimiana ?
I meant hamna mtu anayekutaka?
ha!ha!ktk mazingira niliyopo sitaki MTU mkuu,
MY EX!!!!! hivi sku hizi hata shuleni watu wanaowana na kuachana?!!..kaazi kwelikweli.
Ndugu yangu wanachuo wa kiume ni zaidi ya boko halamu,watu washawaoa watoto wa watu bila wazazi wao kujua mwanaume anapewa haki zote kama mwanandoa.noumaaaaaMY EX!!!!! hivi sku hizi hata shuleni watu wanaowana na kuachana?!!..kaazi kwelikweli.