Dahhhh....
Umenikumbusha mbali sana mkuu...π€£
Nyuzi za hivi tulikua tunaziandika 10 yrs back, na kweli tulikua tunaonana na wings za mikoa husika...π
But kwasasa trust imepungua sana Jf, upendo umepungua, matapeli wametamalaki, waongo wameongezeka, watoto wamekua wengi na mnatutangaza sana....π€¨