Nitakushauri hapa hapa kama unainterview


Sasa Mkuu hayo uliyosema ndio hayapo Gooogle.???
 
Uzi mzuri sema wapokeaji wameanza kumbeza labda hawajamuelewa, ngoja nikufate inbox tubadilishane mawazo
 
Habari ndugu
Sinasomea HR lakini nina uzoefu wa kufanya interview kwa kusoma sehemu tofauti tofauti na kuifanya pia
Niulize kama umeitwa kwenye interview
Natanguliza shukurani
Why are you not promoted in your current job? Nahisi nitaulizwa hili maana hapa ninapofanya kazi sasa nina miaka 5 na sijapata promotion na kesho naenda kwenye interview. Nipe jibu mkuu
 
Habari ndugu
Sinasomea HR lakini nina uzoefu wa kufanya interview kwa kusoma sehemu tofauti tofauti na kuifanya pia
Niulize kama umeitwa kwenye interview
Natanguliza shukurani
nisaidie ndugu yangu cjui lolote nimeitwa katika usaili kwa mara ya kwanza kupitia tume ya ajira serikalini asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…