bothlegs Senior Member Joined Apr 14, 2009 Posts 123 Reaction score 49 Mar 4, 2013 #1 "Usipojibu swali hili nitakufi...,nitakufi...,nitakatufinya kweli".Mwalimu mmoja mwenye hasira na kigugumizi alikuwa mwambia mwanafunzi wake darasani, baada ya mwanafunzi huyo kushindwa kujibu swali aliloulizwa na mwalimu huyo.
"Usipojibu swali hili nitakufi...,nitakufi...,nitakatufinya kweli".Mwalimu mmoja mwenye hasira na kigugumizi alikuwa mwambia mwanafunzi wake darasani, baada ya mwanafunzi huyo kushindwa kujibu swali aliloulizwa na mwalimu huyo.