Nitakubaliwa kubadili kozi VETA DSM?

Nitakubaliwa kubadili kozi VETA DSM?

dk luis

Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
20
Reaction score
3
Habarini za saivi wakubwa wote wa JF mimi ni kijana niliyefanya usaili wa kusoma mhula wa masomo wa 2018 VETA DSM lengo langu nisome electrical installation lakini sikubahatika kuchaguliwa kwenye kozi hiyo badala yake nikachaguliwa plumbing and pipe fitting sasa nauliza hivi nikitaka kubadilisha kozi veta wanakubali ? Mwenye uelewa tafadhali
 
Soma tu iyo kozi soko lake kwa sasa ni kubwa kuliko iyo electrical,miradi mingi ya maji,mafuta na gesi inayofunguliwa hapa nchini nyinyi ndo mnahitajika nakushaur endelea tu na hiyo kozi na hutojutia.
Kwa kifupi electrician wanaominika sana ni wale wa kuanzia diploma na kuendelea...
 
Vizuri nimekupa mkubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom