mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 320
- 678
Sasa nitasubiri mpaka lini maana mpk sasa sinahakika kama anamaanisha kuwa na mimi au ananizingua akisubiri apate anaempenda anikimbie. au akipata kaz si ndio atakuwa anioni ata uku mtaaniSasa aje kwako ili umkanyage
Subira yavuta kheri
Kila la kheri
Hapana hatujawai kukubaliana hivyo yeye tu kakomaa. na mimi nampa kampani ya vitu sio ili alipe nampenda tu so sijiskii vizuri akipata shida sema sometime kibinadamu unawaza au yupo kwa ajili ya vitu sio mapenzi maana sioni shida nini kuinjoi nae mpk kusubiri.Pole sana mkuu...
Subiri watakuja kukushauri...
Lakini huenda mwanzoni wakati unatongoza alikuambia usubiri mpaka ndoa na ukakubali alafu sasa ivi wewe umesahau.
Ila mkuu mpe mtu kitu kwa sababu umeridhia kumpa sio kwa sababu unategemea malipo kutoka kwake.
mkuu yani tuwe wakweli unafungaje ndoa na mtu hata hamjuani kwenye mambo ya chumbani kwa ulimwengu huu na mie sasa nashawishika kumchiti maana nashindwa kujizuia i wish raha zile anipe yeyeHebu funga nae ndoa kwanza, akikunyima tena njoo tukushauri.
Labda na yeye anaona unatumia pesa kumhadaa tu kimapenzi, tena na hivyo una gari,si unajua watu wenye pesa walivyo?Hapana hatujawai kukubaliana hivyo yeye tu kakomaa. na mimi nampa kampani ya vitu sio ili alipe nampenda tu so sijiskii vizuri akipata shida sema sometime kibinadamu unawaza au yupo kwa ajili ya vitu sio mapenzi maana sioni shida nini kuinjoi nae mpk kusubiri.
kwani mkuu katika kumuuliza uliza, yeye hajawahi ule mchezo? kama amewahi hapo mzingue anakuona bonge la boya ila kama hajawahi mvumilie hata miaka saba mkuuSasa nitasubiri mpaka lini maana mpk sasa sinahakika kama anamaanisha kuwa na mimi au ananizingua akisubiri apate anaempenda anikimbie. au akipata kaz si ndio atakuwa anioni ata uku mtaani
Mkuu kuna ule uzi wa KULA TUNDA KIMASIHARA Nashauri uupitie huenda na wewe kesho tukasoma umekulaje kimasihara.
Niwe bandidu au sio mzee? Ngoja nijaribu hio styleUna kau nice guy flan hiv ukiwa nae sasa nayeye anakatumia vzur
Shida ya hawa ndugu zetu ukimtreat vizur kwa kumuheshim anakuona boya flan , wakuja , mjinga mjinga flan
Huyo dawa yake pindua coin hyo anza kumtreat ki bad guy flan hiv akil itamkaa sawa
Mambo ya kuambiana utanipa tukioana wakati kuna wana washapita ni ujinga ambao si wa kukubalika hata kidgo
Hata km kumuadaa ndio muda wote nitumie ningeshasepaLabda na yeye anaona unatumia pesa kumhadaa tu kimapenzi, tena na hivyo una gari,si unajua watu wenye pesa walivyo?
Vumilia tu na yeye anakusoma bado,kama utasusa au la.
Alishawai kuwa na boyfriend walizinguana sema namuona pia mjeurikwani mkuu katika kumuuliza uliza, yeye hajawahi ule mchezo? kama amewahi hapo mzingue anakuona bonge la boya ila kama hajawahi mvumilie hata miaka saba mkuu
Nb. Akupe na ushahidi kabisa kama yupo sealed
Gari mbona sio ishu mkuu, sasa ata km kushow off mtanijuaje na situmii jina languHongera kwa kumiliki gari, hayo mengine chai kama chai nyingine
Boyfriend wake alikuwa anampa tunda?Alish
Alishawai kuwa na boyfriend walizinguana sema namuona pia mjeuri