Nitajuaje kama kompyuta(PC) ni bora?

Nitajuaje kama kompyuta(PC) ni bora?

Mimi ni mwanafunzi ninae taka kwenda kusomea afya Ila Nina laki tatu na nusu nataka kununua laptop je ntajua vp kuwa laptop hiii ni originally wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh mpaka PM kunan hasa c mfunguke tu hik 'n kipindi cha ukweli na uwazi

Zé unique named bwoy
 
kwa hela yako asije kukudanganya mtu ndugu yangu, kwa sababu PC nzuri unashauriwa iwe na Hard disk ya 500GB na Ram kuanzia 4, though mbili si mbaya, processor kuanzia core i5, bila kujali jina la kampuni na hakikisha battery ni intel, sasa kwa sifa hizi ukija kufananisha na bei duuuhh'''!!!! ila sijui bahati kwako labda
 
Kwa chuo cha afya huitaji kuangaika na laptop yenye specs kubwa; maana matumizi yake mainly ni kusoma slides(powerpoint), kutype assignments na kuangalia videos youtube labda.

Ushauri wangu nunua laptop yoyote dukani atleast hdd iwe 320Gb na Ram 2gb,ila sharti ununue mpya na yenye guarrantee, mtaani watakuibia tu.
 
Mimi Nina laki tatu na nusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inatosha kupata laptop kwa matumizi yako, malimbukeni wengi huchoma hela nyingi kununua laptop zenye sifa hata wasizokuja kutumia.
 
Kweli kabisa mkuu
 
labda kama Min laptop utapataa Mpyaa.
ila tofautii na hapo utapataa used kwa elaa yako. .
Kwa kuwaa uko kozii za Afya angaliaa hard disc kuanziaa 350GB na sio lazima core i3 au i5 hata Intel inside inatishaa. .

Nokia ya Torch
 
Inatosha kupata laptop kwa matumizi yako, malimbukeni wengi huchoma hela nyingi kununua laptop zenye sifa hata wasizokuja kutumia.
Sio ulimbuk3ni mkuu kuna wengine wana matumizi makubwaa ya laptop ..
Kwa watuu wa engineering kuna Autocard plus solid work ukiweka hizi mambo kama laptop ndogo inasumbua sana

Nafahamu hayo yote ndio maana nikasema kuna malimbukeni wanachoma hela nyingi kwa sifa(features) ambazo hawatazitumia sijui umeelewa nini sentesi hii.
 
Kwa chuo cha afya huitaji kuangaika na laptop yenye specs kubwa; maana matumizi yake mainly ni kusoma slides(powerpoint), kutype assignments na kuangalia videos youtube labda.

Ushauri wangu nunua laptop yoyote dukani atleast hdd iwe 320Gb na Ram 2gb,ila sharti ununue mpya na yenye guarrantee, mtaani watakuibia tu.
Mimi ni mgeni ntaijua Veep kiongozi Kama hiiiu ni original

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom