Maandishi HONDA yameandikwa kwenye injini kwa kubonyeza injini au kuinuka.
Lisibandikwe kwenye karatasi au stika.
Serio namba imewekwa kwenye chuma pia.
Nembo ya kampuni nayo kwenye chuma.
Jina la kampuni iliyotengenezwa liwe kwenye chuma pia
Made in.....Japan. Iwe kwenye chuma pia, hapa linaweza kuwa jina la nchi nyingine iliyopewa ruhusa ya kutengeneza hiyo mashine.
Lakini made in Japan ni bora zaidi.
Hizo ni baadhi ya alama za mashine halisi.
Post sent using JamiiForums mobile app