habar wadau wa Tech.
naomba kufahamu namna naweza jua picha imepigwa muda gan kama ukitumiwa whatsapp manake mi nikiangalia kwenye properties inaonyesha muda ambao nimedownload kama date taken.
note: kuna mtu namdai nimemkumbusha pesa katuma picha na inaonekana ya muda kidogo alikuwa hospital napata challenge ya kujua date taken ili niende naye sawa.
Right click>Prperties>Details>tafuta palipoandikwa origin angalia date taken or something that means the same.habar wadau wa Tech.
naomba kufahamu namna naweza jua picha imepigwa muda gan kama ukitumiwa whatsapp manake mi nikiangalia kwenye properties inaonyesha muda ambao nimedownload kama date taken.
note: kuna mtu namdai nimemkumbusha pesa katuma picha na inaonekana ya muda kidogo alikuwa hospital napata challenge ya kujua date taken ili niende naye sawa.
You are welcome!thannks mkuu
nashukuru KIOO picha inaonekana ya muda kidogo.