Nitajie jina la huu Uwanja

Naona mnasaidiana wazee wa udom ndo maan JPM aliwaiita vila-za
Una akili ndogo sana ndio maana unakumbuka jambo moja tu la kijinga, nasema la kijinga kwasababu mwenye akili hawezi kuendelea kulitumia tena, na kwa bahati mbaya siijui hata dodoma ilivyo na sikubahatika kusoma huko na walipoanzisha hicho chuo mimi nilikuwa nishafunga mjadala wa kinachoitwa elimu ya juu.
Tumia muda wako vizur kusoma guide book ya TCU ili ujue principal 2 maana yake ni nini.
 
Hiyo ni picha ya uwanja wa ndege wa Bukoba utakavyokuwa baada ya matrilioni kuchangwa.
 
Nimeona Lufthansa mbili hii itakuwa Flughafen Frankfurt am Main...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…