Nipe ruhsa nifanye muendelezo wa hii hadithi, na jinsi maisha yalivyo kubadilikia baada ya mama kufariki, pia baba alivyo kuchukulia baada ya kuona umetoa siri ilopelekea kumpoteza mkewe, bila kusahau maisha yalivyokua magumu chuoni hadi una maliza na kupata mafanikio makubwa kimaisha na leo kutupa simulizi ya mfano
Yaani unazimia badala ya kuzindukia hospitali unazindukia nyumbani? Hao watu walimpeleka mtu aliyezimia nyumbani badala ya hospitali? Shughuli ipo hapa!
Inaonekana familia imejaaliwa mpaka ukienda ghetto unatumia ngazi ila baba yako ----- hela zote alizokuwa nazo anaenda kulala gesti za buguruni tena magari mengi ya kwenda kwenu yanapatikana hapo.
Hivi gongo la mboto kuna nyumba ya ghorofa? Manake mie mgeni daslama.
Halafu unazimia chuoni na after two hrs unazindukia nyumbani? Lazma una bodyguards na kahelicopter
Wewe sasa ndo una dharau au sijui niite ushamba? Kwako ghorofa ndio utajiri? Wenzio wanajenga ghorofa manake kiwanja kidogo hahaha. Kua uyaone, sio maghorofa mdogo wangu.