Nitaishije na mwanamke muongo?

Hakupendi huyo.,, uongo unaua au unaweka mtu ktk hatare, hivo anayekudanganya anakuua au anakuweka ktk hatare na kurahisha mambo maana yake Hakupendi.
 
Ukiona Muongo ujue kuna mawili. Iwe ni hulka yake au ameanza tabia juzi juzi.

Kitu cha kwanza, Muongo huwa anajisahau.. usionyeshe kumshtukia. Weka mitego ya kifedha, huku ukiwa unaangalia. Then taratib utapata ushahidi, then muite muoneshe the truth.

Akiwa mkali na kukana. Mwambie u are not playing. Either ajirekebishe or it over.

Akikubali na kuomba masamaha.. mkubalie but kuwa makini.
 
Ukishakua humuamini mwenzako ni ngumu sana kuja kumuamini tena!

Na mtu muongo ni ngumu sana kubadilika,sasa kwanini uishi maisha ya wasiwasi na mateso yasiyo na ulazima? Life is too short bro!

Kama hujazaa nae achana nae atakupa maradhi ya moyo na wasiwasi tu.​
 
Wanawake wote wapo hivyo jaribu kujifunza kuishi naye
 
Ila kama siyo Mchagga
 
Ila kama siyo Mchagga
Hata kama ni mchagga. Ukiwa smart haijalishi. Hizi mbinu lazima kila mwanaume awe nazo.. always kabla muwahi adui yako kabla hajapiga hatua. Ww tayar umeshapiga hatua.
 
Sawa sawa mkuuu ,unaniwakilisha vema
 
Kasema ni mke sasa i cant imagine kama ndoa yao ya kikristo kuachana hua s ni process ndefu??

Ujue kwenye kila sababu kuna sababu ya hiyo sababu ndani yake wawekane chini wamalizane wenyewe akiona inakua ngum awaite hata washenga au watu wao wa karib wamweke chini mwanamke huyo

By the way napendaga comments zako
 


Usikute ana basha lake analitunza kwa kumlipia chumba, kusomesha watoto wa huyo basha lake, kuhonga wanaume wengine kupitia jasho lako.
 
Jitahidi na wewe uwe muongo zaidi yake Tena mpaka akugundue akikuuliza unamwambia shida umeianza wewe
 
Kama hujamuowa jiongeze ki akili hapo , bomu litalipuka wakati wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…