Weka wazi ni mke au ni mpenzi tu kama ni mpenzi tu achana naeHabarini wakuu , huyu mwanamke ninayeishi nae ni muongo Wa kupindukia, nimejaribu kumfatilia Sana nyendo zake nimegundua mambo mengi amekuwa akinidanganya Sana hasa kwenye suala la pesa, amekuwa nimekuwa ni mtu Wa kutunga mambo sana ili anidanganye nifanyeje wakuu niweze kuishi na huyu mwanamke
Huyu ni mke ila mambo mengi amekuwa akinidanganya Sana
asante kwa ushauri wakoKwa kuwa umemjua ni muongo tena "specifically" kwenye pesa na wewe hutaki kuongopewa! Nadhani umekuwa aware nae kwa hiyo ushauri wangu jitahidi kuwa unamhoji sana kuliko ulivyofanya mwanzo. Faida yako ni kwamba umemjua kwa hiyo kujua tatizo lilipo inakurahisishia utatuzi wake!
Wakati mwingine mnyime kabisa kama unaona jambo analoongea halina mashiko pia ikiwezekana mweleze kabisa kwamba umegundua sio mkweli. Ukweli humweka mtu huru.
Tahadhari; Jiandae kupokea mabadiliko ambayo huwenda hayata kufurahisha mara tu utakapoanza kuhoji na kumuwekea ngumu. Tambua ameshajenga mazoea hivyo hatua utakayochukuwa ni kumbadilisha tabia hiyo jambo ambalo lazima litakuwa na matokeo either hasi kwa 90% au matokeo chanya 10%
Kila la kheri mkuu.
There is only solution for mtu mwongo, katika uchunguzi wako .. pata ushahidi red handed...then ukisha jua baadhi ya shahidi. Mkalishe chini muonyeshe. Akipinga badala ya kuomba msamaha... mteme dump her.Habarini wakuu,
Huyu mwanamke ninayeishi nae ni muongo wa kupindukia, nimejaribu kumfatilia sana nyendo zake nimegundua mambo mengi amekuwa akinidanganya sana hasa kwenye suala la pesa, amekuwa nimekuwa ni mtu wa kutunga mambo sana ili anidanganye.
Nifanyeje wakuu niweze kuishi na huyu mwanamke