Acha porojo zako Molemo,hivi Mbowe kamuulia baba yake halafu mnakaribu kuficha uvundo kwa kuja na porojo jukwaani?Kwa sass hakuna mtu makini tena anaeweza kiendekeza ulaghai wa chadema,Mbowe aliufanganya umma kuea haliyaki gari la KUB lkn kinya kimya akaliendea lkn kwanini hukuja hapa kutujuza utapelo wa Mfalme Mbowe?Posho za Bunge mlitudsnganya hamzichukui lkn mnachukua mpaka leo na hamjaonma umma radhi kwa hadaa zenu.Mlituambia kuwa CUF ni mamluki na vibaraka wa ccm,MkamwitaMbatia kuea ni Usalama wa taifa lkn cha ajabu baada ya kuona mnaanguka mkajisalimisha kwao na wakawapokea bila kinyongo.Wangwe alikufa akiwa na Kinyongo kikubwa na Mbowe leo unajipa mamlaka ya kuisemea familia yake.Ingekuwa vyema ikamuandalia press huyo kijana wa wangwe akazungumza mwenyewe kwa niaba ya familia.Akawauliza kama kweli mnathamini fsmilia yao na kutambua mchango wa Baba yake,kwa nini Mlikimbilia kujenga mnara wa Mwangosi halafu mkapuuza kujenga ule chacha wangwe.Uongo wenu umefikia kikomo