Nitagunduaje kama Simu ya Huawei imeflashiwa ?

Nitagunduaje kama Simu ya Huawei imeflashiwa ?

Joined
Nov 9, 2014
Posts
20
Reaction score
5
Mtu unaweza kununua simu hujui yawezekana labda iliflashiwa itumie lain zote tofauti na mwanzo kama tunavyozijua simu za Tigo, sa n vitu gan vitanisaidia kujua kama simu(smartphone) imeflashiwa au la, anayejua huu ndo wakt
 
itakuwa inakubali line za mitandao mingine pia sio kuflash ni kuunlock
 
Back
Top Bottom