M Mujanjabi Member Joined Jan 13, 2011 Posts 75 Reaction score 9 Jul 23, 2012 #1 Kwa kweli uozo uliojaa ktk chama changu(ccm) mwaka 2015 nitatoka na kuwa mgombea binafsi.
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,905 Reaction score 28,070 Jul 23, 2012 #2 Shikamoo Shibuda..
Mwanajamii JF-Expert Member Joined Mar 5, 2008 Posts 7,063 Reaction score 71 Jul 23, 2012 #3 Mujanjabi said: Kwa kweli uozo uliojaa ktk chama changu(ccm) mwaka 2015 nitatoka na kuwa mgombea binafsi.[/QUOT Asubuhi tu na utumbo, siku itakwisha kweli? Click to expand...
Mujanjabi said: Kwa kweli uozo uliojaa ktk chama changu(ccm) mwaka 2015 nitatoka na kuwa mgombea binafsi.[/QUOT Asubuhi tu na utumbo, siku itakwisha kweli? Click to expand...
Mwanajamii JF-Expert Member Joined Mar 5, 2008 Posts 7,063 Reaction score 71 Jul 23, 2012 #4 tedo said: Shikamoo Shibuda.. Click to expand... Umempatia kweli, ulijuaje kuwa ni shibuda?
Lasikoki JF-Expert Member Joined Jan 10, 2010 Posts 640 Reaction score 118 Jul 23, 2012 #5 ha ha ha.......yoi have my full support dude, lakini hebu mwaga basi sera zako kiongozi! Tupe na wasifu wako basi kiaina.....
ha ha ha.......yoi have my full support dude, lakini hebu mwaga basi sera zako kiongozi! Tupe na wasifu wako basi kiaina.....
P Precise Pangolin JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 13,055 Reaction score 6,777 Jul 23, 2012 #6 Lasikoki said: ha ha ha.......yoi have my full support dude, lakini hebu mwaga basi sera zako kiongozi! Tupe na wasifu wako basi kiaina..... Click to expand... Wasifu wake ni kugombanisha vyama vya siasa
Lasikoki said: ha ha ha.......yoi have my full support dude, lakini hebu mwaga basi sera zako kiongozi! Tupe na wasifu wako basi kiaina..... Click to expand... Wasifu wake ni kugombanisha vyama vya siasa
Tukundane JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 12,231 Reaction score 9,552 Jul 23, 2012 #7 Lasikoki said: ha ha ha.......yoi have my full support dude, lakini hebu mwaga basi sera zako kiongozi! Tupe na wasifu wako basi kiaina..... Click to expand... Wasifu wake ni mpiganaji wa msituni.ndio maana kajificha.
Lasikoki said: ha ha ha.......yoi have my full support dude, lakini hebu mwaga basi sera zako kiongozi! Tupe na wasifu wako basi kiaina..... Click to expand... Wasifu wake ni mpiganaji wa msituni.ndio maana kajificha.
HAZOLE JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,551 Reaction score 715 Jul 23, 2012 #8 Membe at work maana ndani ya ccm atachakachuliwa na lowassa will crown the tittle
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,548 Jul 23, 2012 #9 HAZOLE said: Membe at work maana ndani ya ccm atachakachuliwa na lowassa will crown the tittle Click to expand... Mbona hawa watu sarakasi zimeanza mapema sana? Hadi kufika katikati ya 2014 tutakuwa tumeona na kuskia mengi sana,. MWAKATA weya we HAZOLE!?
HAZOLE said: Membe at work maana ndani ya ccm atachakachuliwa na lowassa will crown the tittle Click to expand... Mbona hawa watu sarakasi zimeanza mapema sana? Hadi kufika katikati ya 2014 tutakuwa tumeona na kuskia mengi sana,. MWAKATA weya we HAZOLE!?
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,361 Reaction score 6,441 Jul 23, 2012 #10 Mujanjabi said: Kwa kweli uozo uliojaa ktk chama changu(ccm) mwaka 2015 nitatoka na kuwa mgombea binafsi. Click to expand... Gombea tu kakukataza nani! Huna haja ya kusema jamvini!
Mujanjabi said: Kwa kweli uozo uliojaa ktk chama changu(ccm) mwaka 2015 nitatoka na kuwa mgombea binafsi. Click to expand... Gombea tu kakukataza nani! Huna haja ya kusema jamvini!
KASHOROBANA JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 3,241 Reaction score 964 Jul 23, 2012 #11 Tusipokuwa macho, tutaongozwa na matahahira mwaka 2015
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,740 Jul 23, 2012 #12 KASHOROBANA said: Tusipokuwa macho, tutaongozwa na matahahira mwaka 2015 Click to expand... inabidi tume ya uchaguzi iongozwe na bingwa wa magonjwa ya akili.
KASHOROBANA said: Tusipokuwa macho, tutaongozwa na matahahira mwaka 2015 Click to expand... inabidi tume ya uchaguzi iongozwe na bingwa wa magonjwa ya akili.
mozes Senior Member Joined Jan 11, 2012 Posts 115 Reaction score 21 Jul 23, 2012 #13 Mujanjabi said: Kwa kweli uozo uliojaa ktk chama changu(ccm) mwaka 2015 nitatoka na kuwa mgombea binafsi. Click to expand... pole sana mkuu! Jitahd coz nadhan utapata matokeo......
Mujanjabi said: Kwa kweli uozo uliojaa ktk chama changu(ccm) mwaka 2015 nitatoka na kuwa mgombea binafsi. Click to expand... pole sana mkuu! Jitahd coz nadhan utapata matokeo......
Simba Mkali JF-Expert Member Joined Jan 31, 2012 Posts 620 Reaction score 243 Jul 23, 2012 #14 Ushaunda Mtandao?
A Asa79 JF-Expert Member Joined Jul 19, 2012 Posts 592 Reaction score 163 Jul 23, 2012 #15 Akina mwigulu na lusinde usiwasahau ktk kampeni zako wanaweza kukupaisha wanaweza kuwa kampeni meneja wako wazuri tu
Akina mwigulu na lusinde usiwasahau ktk kampeni zako wanaweza kukupaisha wanaweza kuwa kampeni meneja wako wazuri tu
C Chumba cha siri Member Joined Jun 27, 2012 Posts 17 Reaction score 7 Jul 23, 2012 #16 pia ukiona kunamuelekeo kwenye vyama vingine jipenyezetu usihofie
malema 1989 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 1,323 Reaction score 529 Jul 23, 2012 #17 Huyu atakuwa mheshimiwa willium ngeleja !
M Mfwalamanyambi JF-Expert Member Joined Dec 18, 2010 Posts 433 Reaction score 102 Jul 23, 2012 #18 pombekali said: mbona hawa watu sarakasi zimeanza mapema sana? Hadi kufika katikati ya 2014 tutakuwa tumeona na kuskia mengi sana,. Mwakata weya we hazole!? Click to expand... mwakata wuli, endikata???
pombekali said: mbona hawa watu sarakasi zimeanza mapema sana? Hadi kufika katikati ya 2014 tutakuwa tumeona na kuskia mengi sana,. Mwakata weya we hazole!? Click to expand... mwakata wuli, endikata???
M Mfwalamanyambi JF-Expert Member Joined Dec 18, 2010 Posts 433 Reaction score 102 Jul 23, 2012 #19 Asa79 said: Akina mwigulu na lusinde usiwasahau ktk kampeni zako wanaweza kukupaisha wanaweza kuwa kampeni meneja wako wazuri tu Click to expand... Nakubali maana wana PhD ya matusi
Asa79 said: Akina mwigulu na lusinde usiwasahau ktk kampeni zako wanaweza kukupaisha wanaweza kuwa kampeni meneja wako wazuri tu Click to expand... Nakubali maana wana PhD ya matusi
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Jul 24, 2012 #20 KASHOROBANA said: Tusipokuwa macho, tutaongozwa na matahahira mwaka 2015 Click to expand... Mbona tahira anatuongoza since 2005?
KASHOROBANA said: Tusipokuwa macho, tutaongozwa na matahahira mwaka 2015 Click to expand... Mbona tahira anatuongoza since 2005?