K Kanda ya Ziwa Member Joined Apr 11, 2011 Posts 47 Reaction score 6 Jul 18, 2011 #41 Kalifumu ndiye katuingiza kwenye mikataba hewa ya madini. Kamwa wana Igunga hatumtakiiiiiiiiiii!!!!
Butho Mtenzi JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 331 Reaction score 22 Jul 18, 2011 #43 Kwani ww ni BASHE au unadhan chama hiki unaamka tu afu unaenda kugombea pole we
zumbemkuu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 11,362 Reaction score 9,882 Jul 18, 2011 #44 WILSON J said: nimeshapata wadhamini wakutosha kwa ajili ya kampeni pindi tume itakapotangaza mchakato. kidumu chama Click to expand... taja majina yako yote na shule pamoja vyuo vyote ulivyopitia ili usije ukaleta mambo ya kigwangala hapa, usisahau kutaja na kabila lako maana watu wa igunga watapenda kujua hilo japo hatuabudu mambo ya ukabila.
WILSON J said: nimeshapata wadhamini wakutosha kwa ajili ya kampeni pindi tume itakapotangaza mchakato. kidumu chama Click to expand... taja majina yako yote na shule pamoja vyuo vyote ulivyopitia ili usije ukaleta mambo ya kigwangala hapa, usisahau kutaja na kabila lako maana watu wa igunga watapenda kujua hilo japo hatuabudu mambo ya ukabila.