kuna sku nakatiza kitaa nkakuta tangazo kaa hilo la nguvu za kiume, halafu wamechora mwananke wa 'kibantu'..these guys are getting really creative and hilarious at the same time...kaz kwelkwel.
Tapeli mkubwa huyu,huyu jamaa kawah kumtapeli ndugu yangu mmoja alienda kutibiwa kwake kitu cha kwanza anachofanya ni kupiga ramli na anatumia simu na spika aliyoiunganisha kwenye kibuyu then mtu mwingine anakua anaongea kutoka chumba kingine.Na akitapeli sehemu moja anahamia nyingine ni mtandao wa wezi na matapeli ana ofisi (kijiwe) nyingine sijui tabata,ukonga,kinyerezi nk