DAP imesajiliwa mwaka 2014 hivyo ipo mkononi mwako kwa miaka takribani 6 sasa.
Ukiagiza Japan au ukinunua Yard utaipata kwa kati ya mil 10 - 11mil
Wewe umeamua kwa makusudi kuuza mil 9.2 kwa kisingizio cha maongezi yapo
Hizi gari hazipendwi tena kutokana na matatizo yake, hivyo ukipata mteja wa mil 7 shukuru sana Mungu na usiache kumpa zawadi kwa kukuondolea hilo janga la Xtrail
Sent using
Jamii Forums mobile app