Service mbovu, Nissan anapiga route ndefu bila shida. Saizi Nissan Civilian W41 zinakuja na engine aina 3, Zd30 kwa short base body, Td42 na 4M51 kwa long base body.
4M51 ya mitsubishi saizi inafungwa kwenye Nissan Civilian W41 kutoka kiwandani moja kwa moja.Hii inapambana kwa nguvu na mwendo na engine ya 1hd -fte