Jamani natamani kununua nissan xtrail; tafadhali nawaomba wanaozijua hizi gari wanipe ushauri kama ni gari nzuri za kununua. Ushauir tafadahli. Thanx in advance
Anachootaka ni kupata data za kutosha kuhusu hilo gari kwa waliokwisha kutumia au wajuvi wa Nissan X-Trail,mambo ya kununua au kutonunua yatafuata baada ya ushauri unaoombwa,hivyo ndio nilivyomuelewa.