NISSAN XTRAIL INAUZWA DODOMA

NISSAN XTRAIL INAUZWA DODOMA

rennesha

Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
63
Reaction score
38
JIPATIE NISSAN XTRAIL KWA MILIONI NANE TU.GARI INAPATIKANA KATIKA JIJI LA DODOMA

GARI LIPO KATIKA CONDITION NZURI KABISA KAMA UNAVYOONA HAPO KWENYE PICHA ..

KWA MAWASILIANO PIGA 0789805698

IMG-20180924-WA0019 (1).jpg
IMG-20180924-WA0023 (1).jpg
IMG-20180924-WA0024.jpg
IMG-20180924-WA0032.jpg
IMG-20180924-WA0029.jpg
IMG-20180924-WA0032.jpg
IMG-20180924-WA0022.jpg
IMG-20180924-WA0032.jpg
 
Mzee uko mbali sana kuzingatiy siku izi zime shuka sn

mkuu inategemea na condition ya gari.

Gari hii ipo katika hali nzuri sana, ambapo haiwezi uzwa kwa 6 million, kama utaweza ongeza hizo 2 tumalize biashara hii.
 
mkuu inategemea na condition ya gari.

Gari hii ipo katika hali nzuri sana, ambapo haiwezi uzwa kwa 6 million, kama utaweza ongeza hizo 2 tumalize biashara hii.
Shida pesa boss ndo nilipo kwama apo na mimi nili taka niende nayo ukweni chadulu
 
Hutapata kuuza kwa mil 8 ww! Niamaini mm, labda huko hawajui magari, dar kuna namba DHF mpaka leo haijapata mteja wa mil 6.
 
Xtrail ni gari nzuri sana ila kutokana na maneno ya mtaani ilishahushwa thamani automatically. Yaani ukiuza XTRAIL inaonekana unauza gari bovu
 
Hutapata kuuza kwa mil 8 ww! Niamaini mm, labda huko hawajui magari, dar kuna namba DHF mpaka leo haijapata mteja wa mil 6.
Kila mtu na bahati yake!
Tumika kazi utapata.
Dr. Remmy
 
Xtrail ni gari nzuri sana ila kutokana na maneno ya mtaani ilishahushwa thamani automatically. Yaani ukiuza XTRAIL inaonekana unauza gari bovu
Every general rule has exceptions..

tusiishi kwa kukariri maneno ya mtaani, kama mtu anataka gari si anainunua na anaifanyia checkup kwa fundi wake!
 
Hutapata kuuza kwa mil 8 ww! Niamaini mm, labda huko hawajui magari, dar kuna namba DHF mpaka leo haijapata mteja wa mil 6.
Nikuamini wewe ni nani ili hali kuna mtu kashafika 7 hapa, naendelea kusubiria bei yangu ni 8 milli...
 
Hutapata kuuza kwa mil 8 ww! Niamaini mm, labda huko hawajui magari, dar kuna namba DHF mpaka leo haijapata mteja wa mil 6.
inaonekana wewe ni mgeni wa biashara ya magari.

Unafikiri gari kuuzika ni namba au cindition ya gari?

Unaweza ukawa na Hilo namba DHF ila kila chakari bovu lishapata ajali au limeshawahi kushushwa engine mara kadhaa na matatizo mengine ila mtu mwenye gari namba A likawa lipo kwenye condition nzuri kabisa kama ambalo naliuza mimi.
 
Back
Top Bottom