Actually, kila gari inamfumo wake wa engine na namna ya kuikarabati!
Hio nibsawa na wanaosema engine za d4 ni mbovu, kitu ambacho sicho kweli hata kidogo.
Kila kitu kinadumu kwa namna utavyokitunza na kukikarabati.
Hii ni sawa na kusema, watu wa europe, russian marekani etc wakija Tanzania, wakipata malaria tuu, wakaanza kuchemka mwili, basi ndio mwisho wa maisha yao, kwasababu mmoja ilimpata akafariki basi ukadhani ni wote!
Inategemea na tiba aliyoipata na kwamba haikutosheleza kutibu wingi wa vijidudu vilivyokua ndani yake, au dawa alizotumia hazikua sahihi, that's all!
Uncle wangu anamiliki nissan x -trail mpaka sasa ni mwaka wa tatu na nusu.
Na bado inatumika bila shida yeyote ile., na ni gari inatumika kila siku!
Kila kitu kina dumu kulingana na namna unavyokitunza na kukikarabati tu!.