Samatime Magari
Senior Member
- Feb 10, 2017
- 128
- 474
Hii Gari ina body design nzuri same to Interior ila wabongo wengi wanaikimbia. Sasa Unataka kujua sababu ni nini kaa vizuri funga Mkanda nikupe madini.
.
Qashqai ni Dualis [Maarufu kama Kiberiti though siku hizi haziungui tena ] iliyochangamka ikiwa imetengenezwa na Nissan Kampuni Ya Kijapan hii na chuma imetengenezewa St Petersburg Russia na Sunderland Uingereza ndo kuna assembly plant ya Nissan iliyofanya hii kazi..
.
.
Targeted market ilikua Ulaya, Asia na Middle East kwa Trump [USA] wazee wa standard hii gari haikwenda. Kwa Japan ilitengenezwa kama NIssan Dualis na ilitengenezwa Japan huko uko tofauti na Qashqai ndo maana ukienda Japan kukutana na Qashqai ni ngumu Singapore wazee wa kupamba magari at least zipo..
.
2017 Kwa Qashaqai ndo ikapelewa USA kama Nissan Rogue Sport kwa model za 2017–2022, Gari ya nje ya Japan ukitoa South Africa, Thailand na SIngapore same to Dubai ingawa napo janja janja kidogo Nyingi zinazotoka nchi tofauti na hizo nilizotaja huwa zikija Simiyu malaria za mara kwa mara na uti sugu zinazisumbua.
.
Na ukiona gari imetengenezwa Duniani halafu Japan hawaitumii wewe mwananchi wa Simiyu ni muhimu uwe mguu pande mguu sawa, Jamaa huwa hawapendi gari zenye complication na mbwembe nyingi ndo maana hata wao gari za namna hiyo wanapeleka Ulaya huko na huku kwa Mama chuma za Soko la japan zinafanya vizuri.
.
.
Anyway tuendelee Qashqai 2007 ndo imeingia sokoni na as of now ina generation mbili, 2006-2014 na 2015-2024. Na Jamaa walilenga kutengeneza Compact SUV kwa ajili ya Watu wa Ulaya wanaokaa kwenye majiji yenye mitaa midogo Yani CIties with Narrow streets halafu wanataka SUV ambazo hazili wese sana na ni 4*4 + easy to maintain..
.
Ndo Qashqai ikaja ikapigwa stylish appearance na ikawa more aerodynamic kuliko kaka ake Nissan Xtrail. Ndio maana ukiangalia hii gari ina slope mbele to nyuma Juu [bonnet to kioo to roof to nyuma ] na edges zake ni za round same to vioo [mirros] viko streamlined...
.
NIkisema streamlined yani vioo vinakua kama Samaki hivi, na hapa lengo ni kuipa gari less resistance ya upepo ikiwa inakimbia. Kwa lugha nyingine tunaweza sema ni ku reduce air drag, kupunguza kelele za upinzani wa upepo , kuipa gari stability na kutumia mafuta vizuri..
.
.
So ukiangalia hii gari mbele to nyuma kwa nje utapata picha ya kitu ninachokwambia hapa, na interior walifanya poa tu, gari ina space ya kutosha. Ukikaa kwa seats unapata feeling kama za SUV tu na seat zake ziko elevated vizuri kabisa zikukupa visibility nzuri ya barabara..
.
Legroom iko afi hata kama una miguu mirefu unakaa vizuri tu na hii ni mbele same to NYuma hata roof iko vizuri hata ama wewe ni mrefu wa kiuno to kichwa unakaa vizuri. Dashboard imekaa safi taarifa za dereva zinamhusu dereva sio kama gari zingine Dashboard ni ya abiria wote taa ya wese inablink kila mtu anajua..
.
Vent za AC + Control za ubaridi wameziposition vizuri tu same to gear lever imekaa chini kati sio gari gear level iko usoni kama pua. Boot Space ipo ya kutosha inakula mishangazi kaja Zaidi ya mitatu mikubwa na ground clearance ni nzuri so hata ukila mzigo gari iko juu bado..
.
.
Second Generation ya Qashqai ndo imekaa kibabe Zaidi ina upgrade za maana kuanzia Exterior to interior and YOu can tell kwa kuangalia tu. Headlight zake wamezifinya zikaongezewa upana kama jicho la anaconda hivi na grille la mbele likawa more sportier + bumper likaongezewa ukubwa..
.
Na ule u sleek wa aerodyanamics ukaongezwa pia ndo maana ukii angalia hii gari ni kama ina slope flani from juu to kioo to bonnet. Ndani kulikua upgrade za Kibabe Siti zikapigwa Leathers halafu zikawa more sportier Yani zinakua kama zinakupata hivi.
.
Dashboard pia ikala upgrade na hapa Angalia picha tu then utaelewa ninachokiongea hapa.. nshort hii gari kimuonekano ndani tu nje ni tamu sana na inavutia kuangalia. Na nyingi zina glass roof so wazee wa adventure wale wa kuendesha mnaona mawingu badala ya barabara hii inawafaa sana..
.
.
ema ndo hivyo wataalamu wa mambo wanasema sura shepu na tako havihitajiki katika ndoa. Mfalme Suleman anasema Uzuri hudanganya, lakini mwanamke mwenye tabia njema hupewa heshima. So Jamaa huwa wanahangaika mwisho wa siku unawakuta wamechili na Spacio au Tako la Nyani ndani.
.
Hapa Kikubwa ninachotaka kukwambia ni kwamba ili uanze mahusiano na gari lijue kwa undani. Sura ya nje isikuvuruge ukafanya maamuzi kwa hisia na mihemuko. Baadaye ukaanza kukinywe kikombe cha gadhabu ya Bwana bila kujiandaa. Ila kama ni mbabe Komaa utayaweza yote katika Yeye akutiaye nguvu..
.
Tuendelee na kilichotuleta Qashqai Jikoni ana engine zake ambazo ni Petrol na Diesel na hizi zina nguvu Zaidi tofauti na ile engine iliyo kwa Dualis. Na with more power lazima na complication zihusike humo ndani ndo maana Qashqai top speed ni 240Km/hr wakati Dualis ni 180Km/hr..
.
Kwa Petrol Qashqai ana 1.6L DIG-T turbo petrol ikitoa around 160–163 hp, Yani hapa imezidi Engine ya Dualis MR20 ambayo ina 145 hp. Ndo ujiulize sasa engine ndogo ila power kubwa, hapa jamaa ndo huwa wanazitune engine mixer kuzifunga turbo charged ili kuzipa nguvu Zaidi..
.
.
Mambo ya turbo na tuning Mjapan huwa hapendi Yeye anapenda natural aspirated engine [zinavuta hewa kawaida hazina forced induction]. Kwa Diesel ana 2.0 dCi turbo pia na miaka ya mbele kuna 1.3 Ya diesel turbo pia, Hizi engine ziko very economy na zinaunguruma vizuri [kibabe].
.
Ukisikia gari inakoroma ikiwa silence mpaka unasikia raha ila mkoromo ukianza kuleta mapicha picha ya vumbi la bonyokwa ndo utajua hujui. Ukikutana na Qashaqai yenye engine ya Petrol ile MR20 [though ni chache] hii itakupa Maisha bila usumbufu ila tofauti na hapo hao wengine ni kichomi..
.
Ili kwenda nao sawa condition ni nyingi, gari inaweza kula diesel chafu tu pale Namtumbo Gas station tumbo likachafuka. Kama hio 2.0L DCI ni Direct common rail injection, Zinafanya kazi katika high pressure na zinatumia umeme ukitia wese chafu tu zinaziba..
.
Zikiziba sababu pressure ni kubwa fuel pump inaweza kufa pia cause itakua inasukuma huku kumeziba inakua balaa, na ma DPF yanahusika pia hapa. Incase unavuta hizi zenye engine za Ulaya YOU have to be very smart and caring kwa gari, gari ikipiga chafya tu check up inafanyika.
.
Ila kama wewe ndo wale gari inapiga chafya unaendelea kutumia, inakohoa bado unatumia mpaka inaanza kubanja ndo unatafuta dawa achana na hii gari. Gearbox zake ni za CVT zinafanya vizuri tu kwa matunzo sahihi na vilaiinishi sahihi, towing gari kubwa na mizigo mikubwa kwa mlima sio salama..
.
.
Na hizi chuma bana zinawahi kuua bushes za cross member ya mbele [kifua] same case kwa Nissan X trail na Dualis halafu kuzifungua ni shughuli, Maana inabidi kifua chote kishuke ndo zibadilishwe ziko 4, so incase unamiliki hii chuma usiwe mtu wa kupiga mashimo na matuta kwa sana..
.
All in all ni gari flani nzuri kwa muonekano ila iko sensitive kuitunza, sio gharama sana kui maintan lakini kama bado uchumi wako ni tone tone sikushauri. Kwenye mafuta inatumia vizuri inaenda mpaka 12-14Km/L full tank inakula 65 Litres na Rough road za kawaida sio mbaya cause ina ground clearance nzuri ..
.
Na speaking of safety features just to mention few gari ina Pro PILOT Assist Hii kwenye foleni inasaida. Inakua na Cruise Control + Braking kwa niaba yako na ina Emergency Braking ikihisi hatari. Blind Spot na Warning Lane change yani ukitoka nje ya lane kwa barabara inaku alert. Ina Multiple Airbags za kutosha tu so ukila mzinga mdogo unakua salama..
.
.
Na hizi features nimetaja chache bit pia inategemea na trim husika kwa gari., Kuna trims kama Vicia, Acenta Tekna etc kikubwa ni kuangalia inayokufaa + features zake then unajilipua. Hii gari tukiagiza inaweza range [2007-2014 18-25M na 2015 ++ ni 30M -35M ++..
.
Kama unahitaji kuagiza gari njoo tuko na network ya trusted dealers kwa Japan, UK, Singapore, Thailand etc. Dealers wanaotupa gari zenye ubora wa juu kwa discount nzuri so upande wa bei nao uko safi, Pia tuna uzoefu wa kuspot gari nzuri kwenye site za Japan, UK etc..
.
.
Tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa rahisi na salama kwa pesa yako na unaojali muda wako ukikupa gari nzuri. Simply njoo WhatsApp [0714547598] au ofisini Posta Mpya MUA House 4th Floor mkabala na Mkapa tower tutaku assist + kukushauri..
.
Kama uko mkoani na unahitaji kuagiza gari karibu, utatupa hitaji lako tutakupa Ushauri pia then tutakutumia options za gari ukishachagua utapewa invoice. Utafanya malipo at cost [no extra cost] huko huko ulipo mpaka gari itafika na utakuja kuichukua au kuletewa ulipo..
.
.
Natumaini umejifunza kitu kama jibu ni ndio basi usisahau kushare kwa ajili ya wengine. naKama hujatu follow katika mitandao ya Kijamiio @samatimemagari nenda then search hili jina gonga follow chap ili next time usipitwe na madini..
.
Na kupata access ya huduma za kiushauri Save this number Samatime Magari then share Jina lako na unakopatikana.
.
.
Tutasave number yako kwa Jina Lako na unakopatikana na utakua karibu zaidi na huduma zetu za kiushauri bure. Pia utakua katika familia ya watazamaji 20.7K kwa Week wa magari na bei zake kwa status zetu za whatsapp...
.
Samatime Magari
0714547598