Tatizo bwana huku Trade Car View wasanii wengi mkuu,
Yaani huwezi jua Mkweli ni yupi na Magumashi ni yupi.
Labda kama una mtu kule umuagizie aende mguu kwa mguu mpaka kwenye hiyo kampuni.
Hiyo bei iko chini sana, but why watu wanakubali kulimwa bei kubwa za Autorec?
Jibu ni uaminifu wao tu juu ya hii kampuni.