Team cruiser ni watu wapenda sifa sana both are best edition from each make ( Toyota and Nissan ) but Kwa uchambuzi wa 4x4 wa Australia walikili kuwa y60 zenye td42 na tb42 ni hardcore though Kwa rival wake Kuna vitu engine especially td42 inazidiwa na 1HZ-J 4.2l sana kwenye acceleration
Sent from my SH-04H using
JamiiForums mobile app