Kama unaimudu chukua ina share vitu vingi (karibu vyote) na Navara. Hope unayochukua ni ya 2005 hadi 2010 hizo ndio nimeziona. Kuna coworker anayo, unyama sana.
Kama unaimudu chukua ina share vitu vingi (karibu vyote) na Navara. Hope unayochukua ni ya 2005 hadi 2010 hizo ndio nimeziona. Kuna coworker anayo, unyama sana.
Gari ya kigentlemana sana hakuna itakayotoboa hapo ukisimamisha Hiyo Chuma
Kikubwa ufanye service kwa wakati
Ikikupa caution kwenye dashboard peleka Kwa fundi Wako
Usiazime gari Hovyo Kwa watu gari ni Yako endesha wewe mwenyewe
Nunua genuine spear achana na za Bei kitonga
Zingatia sana service yake
Kuhusu upatikanaji wa spear nadhani Nissan spear zimejaaa
Chukua haina shida, ipo comfortable na ni gari imara. Engine yake ni YD25 ina 2500cc imefungwa kwenye Nissan Navara, Nissan Hardbody, Nissan Nv300 na spare ina share na zote