Kuna mambo yamenitinga tu mkuu sina jinsi.Gari ni mpya lkn kwA nini umeamua kuiuza?
Gari mpya !!!!!!! unamaanisha huo muonekano wake au nini ????? (maana ukiangalia kilometa iliyotembea huwezi kusema gari ni mpya)Gari ni mpya lkn kwA nini umeamua kuiuza?