Nissan namba zake zimetajwa, mbona hawasemi ni ya nani au wanataka mwenye kujua ilipo awapelekee taarifa?

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Nauliza tu, maana matukio mengine hata yakiwa na ushahidi kiasi gani, kufanyiwa kazi inakuwa ngumu sana. Sasa sijui huwa wanajua wanachokitafuta kilipo maana mtu anayetafuta kitu akijuacho huwa anazunguka tu.

Kama mtoto aliyefumaniwa na mnofu wa nyama mdomoni, ukimuuliza nini hiyo Mdomoni, mmmmm naumwa jino, ukimwambia panua mdomo anaanza kulia mmmmmmmmmmmmmmmmmmmm niache linauma, au anakimbia.

Polisi wetu ndicho wanachokifanya, Namba za Nissani zimetajwa, taarifa zikoje?
 
wameangalia kwenye system wakakuta hizo namba zimesajiriwa kwa mashine moja inahitwa bucket wheel excavator ,inatumika sana mgodini
bagger-288-largest-land-vehicle-in-the-world-12.jpg
 
Watu wachache binafsi humiliki Nissan nyeupe

Watu binafsi hupenda nyeusi au rangi ya Dhahabu

Nchi hii magari mengi meupe,SUV,ni Mali ya.. ... Angalia hata barabarani,plate number ya gari nyeupe,unakuta chache za watu binafsi
 
Hatufanyi kazi kwa maneno ya mtandaoni. Mwenye taarifa kamili apeleke kituo cha polisi
 
mbona zito mmemkamata kwa habar za mtandaoni
Sio hiyo tuu hata yule kachero alipo onekana Nairobi jamaa wakairusha mtandaoni walijitokeza fasta kujibu. Ila Msigwa ana lalamika wao ni next hakuna kuongea mpaka ziwapate
 
Back
Top Bottom