Car4Sale Nissan March sokoni

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
26,305
50,476
image.jpg
image.jpg
image.jpg
Gari bado iko safi
Ina vibali vyote
Imenyooka hamna hadithi
Bei ni 4.5million.
Ipo Dar es salaam
Haidaiwi.
0755155782 uje kuiona
 
majina ya bongo Nissan Micra inaitwa March mi nikajua Nissan wametoa toleo jipya linaitw March
 
Nissan March zipo kitambo sana. Kuna kama hiyo kobe na kuna nyingine kama starler. Ingia google
Mmh. . Anajua inaitwa Nissan March. .ila mtoa tangazo inaelekea alikosea akaandika Marca, ilikuwa kumstua kiana. .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom