Nissan march inauzwa hapa

Nissan march inauzwa hapa

Status
Not open for further replies.

mgusi mukulu

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
715
Reaction score
682
nissan march new model inauzwa bei 4 negotiable milage 160,000km ipo dar kinondoni...vibali vyote vipo sawa kwa mawasiliano zaidi 0716805201....
 
Attachments

  • IMG-20140830-WA000.jpg
    IMG-20140830-WA000.jpg
    37.4 KB · Views: 311
Chukua mil1

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
nissan march new model inauzwa bei 5.5 negotiable milage 160,000km ipo dar kinondoni...vibali vyote vipo sawa kwa mawasiliano zaidi 0716805201....
hii gari nimeiona kwenye mtandao wa kupatana tena inauzwa 4 million sasa iweje uilete jf kwa 5 million? tena namba za simu tofauti?! wewe utakuwa dalali umeweka cha juu na usababisha mwenye gari akeshe nayo kwa bei hiyo!
 
chukua 3.5m tufanye biashara kesho asubuhi
ndugu hiyo gar ukienda kwenye mtandao wa kupatana inauzwa million 4 tena na namba ya muuzaji imewekwa sa nashangaa imeletwa huku kwa million 5 tena jamaa anakomaa halaf wa huku na ya simu ni tofauti na kule kwenye kupatana mi nahisi huyu n dalali sio mwenye gari! na vile vile kwa bei hiyo ya 5 milion na hiyo gar itakesha nayo sana!
 
naomba link ya huo mtandao pl
 
hii gari nimeiona kwenye mtandao wa kupatana tena inauzwa 4 million sasa iweje uilete jf kwa 5 million? tena namba za simu tofauti?! wewe utakuwa dalali umeweka cha juu na usababisha mwenye gari akeshe nayo kwa bei hiyo!

Mkuu ni kweli hata kama mimi dalali lakini hizi ndo biashara zetu unategemea vijana kama sisi ajira tutapata wapi hizi ndo ajira zetu so samahani mkuu kama nimekosea nimerekebisha.....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom