Nissan march for sale 3.5

Nissan march for sale 3.5

Biashara inaendelea baada ya fitna kutaka kuingia kati
umeonaee! baadhi ya watu humu jf wanakurupuka, mtu unaandika comment yako saa saba za usiku upo baa ama umeamka toka usingizini kwenda choon ukishatoka ukichanganya akili ya usingizi na akili ya choon ni lazima uandike vitu vya kukurupuka! kwa damu ya yesu fitina Tokaaa!
 
we jamaa nakuona unavyohangaika kuiuza hii gari toka week ya 3 sasa na kuna site nyingine umeitangaza mpaka kwa 2.5mil, leo hii amejitokeza mtu kwa 2.5 badala ya kumshukuru mungu unasema tena huuzi et 3 mwisho. Umenishangaza ujue.... Unapoelekea ni kuuza 1.5 sasa maana hata wa 2 kamili naweza ukakosa. Kuwa na msimamo au kama umeongeza mafuta ya laki 5 tuambie

ushahidi huu hapa
http://www.cheki.co.tz/for-sale/1998-nissan-march-dar-es-salaam-tanzania-a33284.html

View attachment 200950
nimekusaidia tu kutangaza biashara yako.

hapa sasa hata mie amenishangaza...
Hii gari nimeiona mahali inatangazwa chini ya hiyo bei ya 3.5..!!!!
Kule alisema ni milion mbili na nusu na maongezi yapo..!!!!
Haya mteja huyo kafika pale ulipopataka..!!
Una badili mawazo tena..!!
Mh naanza kuingiwa na wasi wasi na hii gari..!!!!!!!!
 
hapa sasa hata mie amenishangaza...
Hii gari nimeiona mahali inatangazwa chini ya hiyo bei ya 3.5..!!!!
Kule alisema ni milion mbili na nusu na maongezi yapo..!!!!
Haya mteja huyo kafika pale ulipopataka..!!
Una badili mawazo tena..!!
Mh naanza kuingiwa na wasi wasi na hii gari..!!!!!!!!
ndugu yangu jaribu kusoma matangazo vizuri sio unakurupuka kwa kufuata mkumbo! hiyo gar unayoiona hapo na kwenye tangazo hapo juu kabisa n gar moja? ama unakurupuka! kuwa muangalifu ndugu
 
Asanteni wote nimefanikiwa kuiuza gari yangu ya nissan march leo mchana, nawashukuru wote walionipa moyo na ushauri na ninawapa pole kws wale wote wanaoropoka, wanaokurupuka na wanaotoa maneno ya kejeli ya kuharibu biashara za watu Mwenyezi Mungu awasamehe ila najua ipo cku watajirekebisha kuropoka!
 
Back
Top Bottom