Nissan march for sale 3.5

Nissan march for sale 3.5

Frank jb

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
418
Reaction score
122
nauza nissan march yangu T 633 AXU, km 186,000, Automatic, cc 990, ya mwaka 1998. Injini haijawahi kuguswa kabisaa! kwa mawasiliano 0716 002323
 
Attachments

  • IMG_20141101_161123.jpg
    IMG_20141101_161123.jpg
    346.3 KB · Views: 695
  • IMG_20141101_170235.jpg
    IMG_20141101_170235.jpg
    328 KB · Views: 650
Mkuu tupia pics za kutosha basi ili tuone product iuzwayo
 
nikupe 2.5 hta leo km uko tayari nimpe mtu contact zako japo sijajua uko wap nitafutie na dereva wa kuileta singida nitamlipa
 
mwisho 3 milion chini ya hapo siuzi

we jamaa nakuona unavyohangaika kuiuza hii gari toka week ya 3 sasa na kuna site nyingine umeitangaza mpaka kwa 2.5mil, leo hii amejitokeza mtu kwa 2.5 badala ya kumshukuru Mungu unasema tena huuzi et 3 mwisho. Umenishangaza ujue.... unapoelekea ni kuuza 1.5 sasa maana hata wa 2 kamili naweza ukakosa. kuwa na msimamo au kama umeongeza mafuta ya laki 5 tuambie

Ushahidi huu hapa
http://www.cheki.co.tz/for-sale/1998-nissan-march-dar-es-salaam-tanzania-a33284.html

Pichaaaa.JPG
Nimekusaidia tu Kutangaza biashara yako.
 
duh kiboko, napita tu, jamaa kamsiadia kuuza, JF bwana!!
 
View attachment 200950

alafu huku imetembea km 98,000
 
elimu ndio inayokupa shida hiyo picha uliyoiweka sio gari yangu, namba ya gari yangu n T 633 AXU, sasa angalia namba ya hiyo gari na rangi! rangi ya gari yangu n orange na hiyo picha uliyoiweka n gar ya rang nyekundu na kuhusu hiyo site huko kote nimepita kwahivyo naamua kuuza kwa bei ninayoitaka mimi kwakuwa gari yangu bado nzima na kama haunma uwezo wa kununua usiwe mropokaji. hivi kwa kiangalia tu kwa macho hiyo gari uliyoiweka ndo ya kwangu? mimi sio dalali mimi ni owner na ninakuonya usiwe mropokaji pasipokuchunguza!
 
duh kiboko, napita tu, jamaa kamsiadia kuuza, JF bwana!!
na wewe ipilimo punguza kutumia simu za promotion hiyo itakusaidia kupunguza kufuata mkumbo wa waropokaji humu! hivi kwa picha nilizoweka hapo juu ya gar yangu inafanana na ya huyo mama huyo mama anayeitwa Hunijui?
 
hiyo nissan nyekundu ya ARD waropokaji wanayosema inauzwa 2.5m sio ya kwangu! gari yangu n AXU ila ukiangalia kwa kukurupuka kama wao waropokaj ndo utasema ndo gar yangu
 
kweli bwana, namimi niiangalia kwa haraka, nikaona jamaa kadandia uzi wako!! tuendelee na biashara, usijali mkuu wangu.
 
Back
Top Bottom